Q Chief ana uhusiano gani na wezi wa magari?

Huyo Q chief aje kuiba kwetu mbgal tu aone cha mtema kuni. Kupigwa mpini hiyo amezoea sana, sisi tunamtoa busha lisilobebeka. Kitu full kujiburuza
 
Duh.! Ndo nimeelewa kwanini juzi wakati tumeenda MC na bosi wangu 'mdhungu' alipitia hom na kuacha laptop yake na some docs.. Ya huyu Q chief mmh.! Nahisi nimekuwa mgumu kuamini.
 

Serikali legelege itasumbuliwa hata na wasanii..........
 
sasa jinsi alivyo laini akienda jela yule si atarudi mke wa mtu????????
hajihurumii?
hahahhha yaani niliwaza hivyohivyo....maana bora hata angekuwa mgumu kama Kala Pina,na kile kisauti labda rafikiye kamsifia kuzuri huko!!!
 
hahahhha yaani niliwaza hivyohivyo....maana bora hata angekuwa mgumu kama Kala Pina,na kile kisauti labda rafikiye kamsifia kuzuri huko!!!

unajua hii midomo ya watu hii sio mizuri...
nahisi kuna laana inamtafuta huyu mtoto
angekuwa na akili angeogopa sana..
 
unajua hii midomo ya watu hii sio mizuri...
nahisi kuna laana inamtafuta huyu mtoto
angekuwa na akili angeogopa sana..
uongo wote ule alomsingizia babake...unadhani kuna usalama kwa hilo,mtoto akililia wembe mpe bwana mwache akawaimbie manyapara mpaka walale kama nyapara alazwa kwa wimbo!!!
 
sasa kwanini tusimalizie kwa kusema wezi ni polisi??kuna kila dalili kuwa wapo polisi wanaoshirikiana na huyo q-chief..polisi anaetoa taarifa hiyo kwa mtu alieibiwa pengine sio muungwana ila anasikia hasira kwasabb mgao haumkuti..nchi inanuka hii
 
Reactions: Aza
.............Afu pia kwanini hukufanya kama PCCB wanavyofanyaga unaenda kuwakamatisha? Kwanza ulienda bila kuwa makini ungeweza hata kupata matatizo huko gerezani utakuwa ulikuwa unauliza uliza sana wangeweza hata kukudhuru!

Rafiki wale jamaa kule maeneo ya gerezani wako macho kabisa. Kuna walinzi ambao wewe huwaoni wanawasiliana na wezi wa mali yako ambayo unakwenda kuinunua kwa mara ya pili. Halafu una uhakika gani na hao polisi, kwani ikiwa kundi hilo wanalifahamu na hawachukulii hatua yo yote hapo inamaanisha nini?
 
'Ninachokipata nagawana na wenzangu' Q-Chief.
 
Pale MC wanalinda magari na sio vitu vilivyo kwenye magari ndio maana wako getini na pia ndugu zanguni hilo suala la kuibia vitu ndani hapo MC ni la siku nyingi na watu wengi wametoa onyo hapa JF kuwa musiache vitu vyenu vya thamani kwenye magari yenu pale MC,ukiweka gari lako usalama wa gari ni juu yako mwenyewe
 
Q chief huyu huyu msanii au mwingine? hata hivyo Polisi na majambazi lao moja..wanampaka namba za simu za wezi..kama hayajakukuta unaweza usiamini.

ninakuamini kabisa,adi yakukute ndio utajua polisi wana msaada au vp!!
yani ni tatizo zito sana ila ipo siku utawala wa nchi hii utabadilika na watashikishwa adabu
polisi ni noma mtu wangu asikwambie mtu
 
sasa jinsi alivyo laini akienda jela yule si atarudi mke wa mtu????????
hajihurumii?
mbona yuko tu mtaani na bado anapakatwa na chief kiumbe? Akienda segerea na kurudi kitaa, hakika atafungua duka samora avenue ili awapangishe wanaume mstari
 
Hivi kwanini mnaacha Laptop kwnye magari pale MC?

Mbona mnapenda kuvunjiwa vioo vya magari yenu?


Just dont leave your laptop in the car.

baas
 
na kile kikwapa...hapo ndo angalau anajipulizia manukato,akienda ukonga balaa lake si kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…