Q Chief ana uhusiano gani na wezi wa magari?

Q Chief ni nickname......inawezekana sio huyo mwanamziki.......mimi nina mkata nyasi anaitwa Juma Kassim......nawasikia watoto wanamwita JK
hahaa... hata huku kwetu kuna kijana ni dereva wa Boda+ anaitwa 50cent
 
Kama umemaanisha Q chief msanii, basi muombe radhi...katoka tu juzi kwenye Interview kuomba kazi, na wewe huku unaanza kumuharibia kwa kumuita mwizi wa magari...jamani atasaidikaje sasa!!!
 
Halafu ukiwa na gari sio lazima na wewe uende nayo Mlimani City. Utakuta mtu hana shughuli ya maana ila anakanyaga mafuta kuzungukia viwa nja vikali vya mjini, matokeo yake ni kuibiwa na kuanza kulia lia.

Paki gari, chukua Daladala, rudi nyumbani kwa Bodaboda kuepuka Jam. Utaepusha mengi.
 
Kama umemaanisha Q chief msanii, basi muombe radhi...katoka tu juzi kwenye Interview kuomba kazi, na wewe huku unaanza kumuharibia kwa kumuita mwizi wa magari...jamani atasaidikaje sasa!!!
acha hizo " mkuu hebu fuatilia vyema huu mjadala tangu mwanzo ..halafu kama ulikuwa haujui mnamo 2007 gari ya q.chief ilishawahi kukamatwa na police kwaajili ya kuhusishwa na ujambazi "" muwage mnafuatilia mambo aisee
 
hahaa... hata huku kwetu kuna kijana ni dereva wa Boda+ anaitwa 50cent


Huku Mtoni Mtongani kwenye ubanda wetu wa gongo, mama anaetuuzia anaitwa Beyonce.
 
Umewalaumu bure police apo....kwani nan kawahi kwenda direct kumshitak uyo q chief wakat haibi yeye sana sana ukaambiwa ni kundi lake tu. Wew umeenda kutoa taarifa umeibiwa vtu kadhaa...ulipoulizwa nan aliyekuibia je ulimtaja uyo q chief!!!!???? Au ulisema hufaham aliyekuibia. Sasa hapo polisi wanaanzaje kwenda kumkamata wakat wew huna ushahid wowote. Hao polisi wanasikia tu km unavoskia wew na ata km wanajua wanaanzaje wakat huyo mtu hajawah kukutwa anaiba zaid ya kuskia story za mtaani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…