Q chief ni mwanamuziki wangu wa muda wote.

korojani

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
231
Reaction score
237
Wakuu leo niliamua nisikilize nyimbo za wanamuziki (wanaoimba tu) wengi wa bongoflava wale wa zamani na hawa wa sasa.
Nilichokuja kugundua Q Chief bado ni mwanamuziki wangu wa miaka yote. Sahau hawa wanamuziki wengi wa leo wataotumia Autotune ili kurebisha sauti zao za hovyo.
Kinachomponza anashindwa kukubali ni masharti ya wanyonyaji wa muziki ili wampe promotion.
 
Q chief kanipigia kiitikio kwenye wimbo mpya wa chuma (chid Benz) hatari sana jamaa anajua sana.
 
Q-chief bado anakaa kwa T.I.D sikiliza na za mnyama kipindi anaanza kuimba zeze na ft zake na JAY MO,malaika na KING GK,tingisha,na nyingine lukuki,then leta mrejesho hapa,jamaa yamempoteza hayo maunga yake ila still naamini kuwa T.I.D ni zaidi ya Q-CHILLAH...
hizo hapo chini ni baadhi ya uthibitisho wa ninachokisema,
mtoa uzi wewe na Q-CHIEF wako kaeni mbali na mnyama....
 
Attachments

We jamaa wa mkoani hilo jina Khaleed kishalikataa.....Anataka Aitwe Mnyama,mzee Kigogo au Khaleed au wewe upo Mkoani?!
 
Namkubali sana Chillah....Kwa ule uwezo wake wa kucheza na sauti huwa namuweka kundi moja na Kassim Mganga.

Jamaa wana vipaji vikubwa mno.
 
Aaache madawa kama kweli anayatumia,na pia aacha kuimba kwakuchanganya na lugha ya kiingereza,jamaa yuko vizuri,ni mojaya watu waliovutia wengi kuingia kwenye gemu,akiwemo Diamond.
 
We jamaa wa mkoani hilo jina Khaleed kishalikataa.....Anataka Aitwe Mnyama,mzee Kigogo au Khaleed au wewe upo Mkoani?!
Kweli mkuu Mnyama alishasema hili jina la TID tuwaachie hawa wa mikoani ila sisi wa hapa jijini tumuite Mnyama au Khalid [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ngada zimewamaliza sana TID na Qchief....Wana sauti/melody nzuri.
 
Autotune ni kaprogram fulani kinakotumika kwenye mixing na mastering za muziki kwa mtu asiejua kuimba na anaetoka nje ya key kumuweka ndani ya key na kuipa mvuto sauti yake
Anhaa kumbe mkuu...nimekupata
 
We jamaa wa mkoani hilo jina Khaleed kishalikataa.....Anataka Aitwe Mnyama,mzee Kigogo au Khaleed au wewe upo Mkoani?!
asa mkuu na wewe unanichanganya,basi abadirisha na maneno ya T.I.D aloweka kwenye nyimbo zake za zamani,mimi nimeandika kama nyimbo zake zilivyokuwa zikimtambulisha,pia ukumbuke simzungumzii mnyama wa sasa,maana kwa sasa hana jipya,namzungumzia T.I.D wa zeze na nyimbo nilizoziweka hapo juu,mbn inahitajika akili ya darasa la pili tu kunielewa mkuu?
uwezo wako hapo kichwani unanipa wasiwasi...
 
Nami pia mkuu nimezungumzia kwa waliofanya muziki na wanaoendelea kuufanya muziki, kama umetambua kuwa khaleed alikuwa fundi wa muziki zamani ni jambo jema lakini Q Chief ni fundi wa huu muziki toka zamani mpaka hivi sasa..
 
asa mkuu na wewe unanichanganya,basi abadirisha na maneno ya T.I.D aloweka kwenye nyimbo zake za zamani,mimi nimeandika kama nyimbo zake zilivyokuwa zikimtambulisha,pia ukumbuke simzungumzii mnyama wa sasa,maana kwa sasa hana jipya,namzungumzia T.I.D wa zeze na nyimbo nilizoziweka hapo juu,mbn inahitajika akili ya darasa la pili tu kunielewa mkuu?
uwezo wako hapo kichwani unanipa wasiwasi...
Mkuu mbona unanipa lawama kwa kosa ambalo sio langu?!

kukufikishia ujumbe wake nimekosea?!
 
Back
Top Bottom