We jamaa wa mkoani hilo jina Khaleed kishalikataa.....Anataka Aitwe Mnyama,mzee Kigogo au Khaleed au wewe upo Mkoani?!Q-chief bado anakaa kwa T.I.D sikiliza na za mnyama kipindi anaanza kuimba zeze na ft zake na JAY MO,malaika na KING GK,tingisha,na nyingine lukuki,then leta mrejesho hapa,jamaa yamempoteza hayo maunga yake ila still naamini kuwa T.I.D ni zaidi ya Q-CHILLAH...
hizo hapo chini ni baadhi ya uthibitisho wa ninachokisema,
mtoa uzi wewe na Q-CHIEF wako kaeni mbali na mnyama....
Kweli mkuu Mnyama alishasema hili jina la TID tuwaachie hawa wa mikoani ila sisi wa hapa jijini tumuite Mnyama au Khalid [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa wa mkoani hilo jina Khaleed kishalikataa.....Anataka Aitwe Mnyama,mzee Kigogo au Khaleed au wewe upo Mkoani?!
Anhaa kumbe mkuu...nimekupataAutotune ni kaprogram fulani kinakotumika kwenye mixing na mastering za muziki kwa mtu asiejua kuimba na anaetoka nje ya key kumuweka ndani ya key na kuipa mvuto sauti yake
asa mkuu na wewe unanichanganya,basi abadirisha na maneno ya T.I.D aloweka kwenye nyimbo zake za zamani,mimi nimeandika kama nyimbo zake zilivyokuwa zikimtambulisha,pia ukumbuke simzungumzii mnyama wa sasa,maana kwa sasa hana jipya,namzungumzia T.I.D wa zeze na nyimbo nilizoziweka hapo juu,mbn inahitajika akili ya darasa la pili tu kunielewa mkuu?We jamaa wa mkoani hilo jina Khaleed kishalikataa.....Anataka Aitwe Mnyama,mzee Kigogo au Khaleed au wewe upo Mkoani?!
Nami pia mkuu nimezungumzia kwa waliofanya muziki na wanaoendelea kuufanya muziki, kama umetambua kuwa khaleed alikuwa fundi wa muziki zamani ni jambo jema lakini Q Chief ni fundi wa huu muziki toka zamani mpaka hivi sasa..asa mkuu na wewe unanichanganya,basi abadirisha na maneno ya T.I.D aloweka kwenye nyimbo zake za zamani,mimi nimeandika kama nyimbo zake zilivyokuwa zikimtambulisha,pia ukumbuke simzungumzii mnyama wa sasa,maana kwa sasa hana jipya,namzungumzia T.I.D wa zeze na nyimbo nilizoziweka hapo juu,mbn inahitajika akili ya darasa la pili tu kunielewa mkuu?
uwezo wako hapo kichwani unanipa wasiwasi...
Mkuu mbona unanipa lawama kwa kosa ambalo sio langu?!asa mkuu na wewe unanichanganya,basi abadirisha na maneno ya T.I.D aloweka kwenye nyimbo zake za zamani,mimi nimeandika kama nyimbo zake zilivyokuwa zikimtambulisha,pia ukumbuke simzungumzii mnyama wa sasa,maana kwa sasa hana jipya,namzungumzia T.I.D wa zeze na nyimbo nilizoziweka hapo juu,mbn inahitajika akili ya darasa la pili tu kunielewa mkuu?
uwezo wako hapo kichwani unanipa wasiwasi...