Q Chillah : Mwana FA acha utoto

kama aliibiwa nyota mbona baada yakutibiwa ikarejeshwa diamond anapeta tu, mleta kicwani kuna danger sio bure

Nyota hajarudishiwa hapo ila kisha report polisi na rb yupo nayo. Nikuonyeshe?
 
Wote wanatoka wilaya moja na mkoa mmoja hivyo mmoja anamjua mwenzie anamatatizo ya kisaikolojia ila wote wanavipaji balaa hivyo hilo suala halitafika mbali lazima mmoja atatumia busara anaweza kujibu kwa busara au kukaa kimya kuonyesha busara
 
Sasa uhusiano wa kipaji cha q chilla na corona ya mwanafa ni nn?
Weka mapenz yako pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
 

FA ana tabia mbovu sana ya uongo kama mchawi vile

I hate that nigga
 
Inawezekana chillah akawa miyeyusho! Ila akawa kaongea pointi.

Mleta mada ungelenga la sasa tujadili, hayo ya huko nyuma ungeanzishia uzi wake tofauti.

Ye fa amekuwa nani asitoe boko!?

Wasanii wenyewe hawa wabongo, wanasiasa wa kimuziki(wachumia natumbo) ndio uwaamini.
[emoji13][emoji23]🤣
 
TUANZIE HAPA
Haya
Kavaa barakoa, picha insta

Wiki haijaisha kaenda SA na kurudi na corona, akatupa taarifa insta

Kama haitoshi kajipiga/kapigwa karantin (karantin minimum siku 14) hata wiki bado haijaisha keshapona, akakimbilia insta na kudai korona ni mafua ya kawaida

Isitoshe sahv asharuhusiwa yupo kitaa anadundadunda tu

TUPATE CHA KUJIULIZA
~Hivi kuna taarifa zozote kutoka wizara ya afya zikithibitisha kuwa kuna mgonjwa mpya wa korona tokea S.A kama walivofanya kwa wengine?
Au kati ya hao sita mmoja ni F.A?

~Kama ameugua korona kweli, mbona matukio yote yamefanyika ndani ya wiki moja? na kuripotiwa na yeye mwenyewe mwanzo mwisho?

~Hivi tofauti ya hiki alichofanya mwana fa na kiki nyingine ni kipi?
Maana tunajua kila kiki huwa inasukwa kiustadi na mhusika na platform yake kuu ni insta

Hayo maswali yasipojibiwa kwa ufasaha, basi na mimi naungana na Q Chillar kuwa jamaa AACHE UTOTO...
Na sisi humu kama ma-great thinkers tusikimbilie kuhukumu kabla hatujafanya tathmini
 
Mimi toka FA ashindaniahwe na jide enzi zile nilimshusha.
Nakumbuka jide tickets zote sold out. Kwa mwanafa pale makumbusho posta hakuuza. Siti zilikua na magap kibao. Wakaja pale IFM kutuomba tuingie kwa buku 5, watu wakagoma
Basi wakaomba watu waingie bure. Wengine wakakubali wengine hatukuhangaika. Nakumbuka msiba wa ngwair ndo ulifanya show ihairishwe. Jide ndo alianza kutangaza show then FA akatangaza same date. After msiba wa ngwair jide akatangaza tarehe ingine na amount. Fa nae akatangaza same date na kiingilio.
Bado nisimshushe?

Kwa suala la corona kwangu naona wanafanya drammar tuu na Ummy. Yaan as if corona aint big deal.
Kwa upande mmona ina faida kwa kua ile tension ta uoga inapungua lakini hasara yake ni kwamba watu wataichukulia poa pia.
Kwahiyo nimemuelewa vyema chillah.
Kuwa teja haimaanishi mtu hana utimamu wake. chid benz mbona anatema sana madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly. Chillah ana point kubwa sana. Watu wanamchukulia poa sana. Lakini ni yuko njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FA ni mwanamziki mzuri tu

Ana kipaji Cha utunzi Ila ni snitch kitambo sana muulizeni Sugu anajua[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…