The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 May 25, 2018 #21 Haya ndio madhara ya kutumika kisiasa,mwenzake Odinga yupo Kenya na familia yake ana enjoy tu maisha wala hana habari nae,kamtumia kama Big G tu! Kuna funzo kubwa sana kupitia mkasa huu.
Haya ndio madhara ya kutumika kisiasa,mwenzake Odinga yupo Kenya na familia yake ana enjoy tu maisha wala hana habari nae,kamtumia kama Big G tu! Kuna funzo kubwa sana kupitia mkasa huu.