TANZIA Qatar: Mwandishi wa Habari wa pili afariki dunia, saa 48 baada ya yule wa Marekani kufariki

TANZIA Qatar: Mwandishi wa Habari wa pili afariki dunia, saa 48 baada ya yule wa Marekani kufariki

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
image.jpg

Khalid al-Misslam, Mwandishi wa picha aliyekuwa akifanya kazi na Kituo cha runinga cha Al Kass, amefariki jana huku sababu za kifo chake zikiwa hazifahamiki hadi sasa

Khalid ni Mwanahabari wa pili kufariki kwenye Kombe la Dunia huko Qatar ikiwa ni saa 48 baada ya Mwanahabari wa Marekani, Grant Wahl kufariki kutokana na shinikizo la damu

Wahl (48) aliyekuwa akipata shida kuingia Viwanjani kutokana na kuvaa fulana ya kuunga mkono LGBT, alianguka wakati wa muda wa nyongeza katika mechi kati ya Argentina na Uholanzi

Muda mfupi baada ya kifo cha Wahl, Kaka yake Erik, anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja, alidai kuwa ndugu yake aliuawa kwa sababu ya ukosoaji wake kwa Serikali ya Qatar
*****

A second journalist has died suddenly at the Qatar World Cup - 48 hours after a US reporter who made headlines for wearing an LGBT T-shirt died from a 'heart attack'.

Khalid al-Misslam, a Qatari photojournalist working for Al Kass TV, died on Sunday. The circumstances surrounding his death are unclear at this stage.

Qatar news outlet Gulf Times tweeted: 'Al-Misslam, a Qatari, died suddenly while covering the FIFA World Cup Qatar 2022.

'We believe in Allah's mercy and forgiveness for him, and send our deepest condolences to his family.'

The news was confirmed by Al Kass TV, who only briefly mentioned his passing away in a live broadcast and appear to be waiting on further details.

It comes just 48 hours after the death of American journalist Grant Wahl, who had struggled to enter stadiums due to wearing a pro-LGBT top.

The prominent football journalist, 48, collapsed during extra time in the match between Argentina and the Netherlands in Doha on Friday night.

Paramedics performed CPR and used an automatic chest compressor to try and revive him for 20 minutes.

Wahl was rushed to a nearby hospital in an ambulance, where he was pronounced dead from what is reported to have been a heart attack.

Shortly after his passing, Wahl's brother, Erik, who is gay, alleged his brother was murdered because of his constant criticisms of the Qatari regime.

Soma TANZIA - Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla
 
Back
Top Bottom