Qchief na show za mombasa.Kulikoni???

ma2mbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
697
Reaction score
326
msanii wa bongofleva Qchief a.k.a 'Asali' amekuwa akienda kupiga show nyingi sana uko Mombasa na mara zote amekuwa akiongozana na promota wake Pedeshee Chief Kiumbe...kwa wadau waliowai kufika Mombasa au wanaoifahamu vizuri watujuze kwa nini uyu msanii show zake zote anaenda kufanyia Mombasa tena akisindikizwa na uyo promota wake mara zote..
 
labda ndo kunamlipa vizuri.
 
Huyu si ndo yule kibaka wa mlimani city? Ameacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…