Qt msaada tafadhali.

Qt msaada tafadhali.

Emhegele

Senior Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
122
Reaction score
6
Natumaini wanajukwaa muwazima tena ni Jambo la kumshukuru Mungu.
Ninae ndugu yangu alifanya mtihani wa Qualifying Test (QT) wa kidato cha Pili na alifaulu vizuri ilikuwa mwaka 2011, anahtaji tena kufanya QT ya kidato cha nne mwakani (2014) na anahofu kwamba anaweza asiruhusiwe kusajiliwa ni kutokana na taarifa alizozipata kutoka sehemu zisizo rasmi kuwa amepoteza muda mrefu zaidi ya miaka miwili. Ombi kwa yeyote mwenye taarifa sahihi juu utaratbu wa kusajiliwa QT tafadhali
 
Msaada wako unahtajika tafadhali ni Muhimu sana unaombwa
 
Natumaini wanajukwaa muwazima tena ni Jambo la kumshukuru Mungu.
Ninae ndugu yangu alifanya mtihani wa Qualifying Test (QT) wa kidato cha Pili na alifaulu vizuri ilikuwa mwaka 2011, anahtaji tena kufanya QT ya kidato cha nne mwakani (2014) na anahofu kwamba anaweza asiruhusiwe kusajiliwa ni kutokana na taarifa alizozipata kutoka sehemu zisizo rasmi kuwa amepoteza muda mrefu zaidi ya miaka miwili. Ombi kwa yeyote mwenye taarifa sahihi juu utaratbu wa kusajiliwa QT tafadhali

Sio kweli, hata kama angekuwa alifanya mtihani wa QT mwaka 2003 bado anaruhusiwa tu. Mwambie ajiandae kwa ajili ya kujisajili mwezi Januari mwakani. Kama una swali zaidi karibu.
 
Back
Top Bottom