Natumaini wanajukwaa muwazima tena ni Jambo la kumshukuru Mungu.
Ninae ndugu yangu alifanya mtihani wa Qualifying Test (QT) wa kidato cha Pili na alifaulu vizuri ilikuwa mwaka 2011, anahtaji tena kufanya QT ya kidato cha nne mwakani (2014) na anahofu kwamba anaweza asiruhusiwe kusajiliwa ni kutokana na taarifa alizozipata kutoka sehemu zisizo rasmi kuwa amepoteza muda mrefu zaidi ya miaka miwili. Ombi kwa yeyote mwenye taarifa sahihi juu utaratbu wa kusajiliwa QT tafadhali