Qt na mtihani wa form 4

SOSTENESS

Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Hey wana JF nina mdogo wangu kafanya mtihani wa QT amefeli, eti hawezi kuruhusiwa kufanya mtihani wa form 4. naomba mnijuze.
 
Hey wana JF nina mdogo wangu kafanya mtihani wa QT amefeli, eti hawezi kuruhusiwa kufanya mtihani wa form 4. naomba mnijuze.

Sasa kama ameshindwa QT atawezaje kuruhusiwa kufanya wa kudato cha nne?
 
Hey wana JF nina mdogo wangu kafanya mtihani wa QT amefeli, eti hawezi kuruhusiwa kufanya mtihani wa form 4. naomba mnijuze.

hapana kwa sababu mtihani huu unaitwa kipima maarifa uko equivalent na mtihani wa kidato cha pili anapofaulu tu ndio ana uhalali wa kufanya mtihani wa kidato cha nne kama mtahiniwa binafsi mtihani huu ufanywa na wale ambao hawakusoma mfumo wa sekondari wa kawaida yaani ameeishia la saba akashindwa kuendelea sekondari basi unaweza akijiandikisha akafanya huu mtihani akifaulu mambo safi .. pia ufanya na wale walisoma sekondari wakaishia katikati mfano kaishia form 1 ,2,3 au 4 lakini uhukufanya mtihani kwa sababu yeyote ile..

The Qualifying Test examination will be administered to private candidates inteding to sit for the Certificate of Secondary Education Examination (CSEE), but do not have Form II level secondary education.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…