QT result-2014

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
618
Nimeangalia matokeo ya watahiniwa waliofanya QT 2014 kwenye website ya baraza la mitihani (NACTE) siyaoni...wameweka ya kawaida tu!

Mwenye kujua namna ninavyoweza kuyapata haya matokeo ya QT 2014 anisaidie tafadhari.......!
 
yapo pale upande wa kulia click pale yapo kwa mtindo wa pdf
 
Matokeo bado bwana kwani yanapotoka yale ya fresh yaani school candidate ndo ya QT nayo huwayanatoka kwa mpigo
 
Matokeo ya QT hutoka sambamba na Yale K.4, hivyo bado, subiri.

usibishe mkuu mm nimesikia ktk taarifa ya habari ili kujiridhisha nikingua necta kucheki na nijayaona mkuu
 
usibishe mkuu mm nimesikia ktk taarifa ya habari ili kujiridhisha nikingua necta kucheki na nijayaona mkuu
Ndugu madenge naomba unisaidie yaweke hapa maana siyaoni....
 
Ndugu madenge naomba unisaidie yaweke hapa maana siyaoni....

mkuu ni ngumu kidogo cuz kuweka matokeo yotee kwa ujumla cha msingi wewe ntajie nambari yako na jina la shule nikuchekie
 
mkuu ni ngumu kidogo cuz kuweka matokeo yotee kwa ujumla cha msingi wewe ntajie nambari yako na jina la shule nikuchekie

kaka namba uniwekee ya kituo cha m1132
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…