salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
Nina vijana wangu wamekuwa wakinifanyia kazi nzuri sana na kwa uaminifu katika biashara zangu nataka niwaendeleze kwa masomo haya ya QT tatizo sijui vyuo gani vinatoa elimu hiyo; tafadhali mnaovijua tusaidiane na hasa vilivyo maeneo ya Tabata, Buguruni au mitaa ya kuelekea airport na ukonga vingefaa sana