Qualification status katika CAS.

Me Engineering zote zimekubali ila Architecture ndo cheche. Sijui wana maanisha nini??
 
Udsm, mzumbe na Ardhi wamenikubali Udom wamenizngua course 2.
 

Hasante mkuu. Pia habari mpya kama hii walitakiwa waiweke kama MPYA / NEWS na kimulimuli ku attract / draw attention.

Halafu kuna baadhi hawakujaziwa sawasawa na wanaporudi kwenye account zao wanakuta hakuna orodha ya selected programs, kama vile hawaku apply, - wanataarifiwaje mapema ili wa-reapply. wengi wao najua tokea walipojaziwa kwa mara ya kwanza na kwa haraka2 hawajarudi tena kwenye account zao kuhakiki.
 

nadhani mpaka wamekuandikia qualified,that means umetimiza vigezo vyao wanavovitaka ikiwemo cut off points,so umeingia moja kwa moja kwenye list ya wanafunzi wao watakao waweka kwenye selection process,hvo basi hauna haja ya kufanya changes zozote coz tayari una uhakika wa kuchaguliwa kati ya udsm au sua.hayo ndo mawazo yangu mdau.
 
Na je,kama hata hizo utakazo badilisha utakuwa not qualified,watakujulisha hapohapo ama?
 
kila mwanchi aliepitia vyuo vyetu ana a/c kwenye hiyo site ya TCU?

Hapana, ni wale walio jisajili mwaka huu kujiunga na vyuo katika mwaka wa masomo 2012/2013. Narudia tena ni wale tu walio jisajiri katika CAS ya TCU
 
asante kwa maelezo yako senetor,kwa hiyo nisipate presha ya kufanya changes sio?
 
ina maana ukishaandikiwa qualify ndio unapat chuo au unaweza usipate:boxing:
 
hulambi chuo..!?? hapo sasa ndo unaenda kupambanishwa na zile one kali we kama unajua una div 3 una apply udzm muhimbili au ardhi? We hujui kuwa dar es salaam kunapendwa 'THE BETTER THE PERFORMANCE THE MORE THE CHANCE OF GETTN DA UNIVRST'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…