vn_warehouse
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 648
- 854
Hapana mkuu, kuna thread nyingine nnayo post items mbali mbali nnazouzahapa ndio umetangaza biashara kweli?
Asante sana mkuu kwa maoni yako ,Mnauza bidhaa zenu kwa bei ya jumla? Halafu ungetuwekea tangazo lililo kamilika. Mambo ya kusema tuku follow Instagram, FB, au twitter! Unakuwa hututendei haki.
Kumbuka jamii forums nayo ni mtandao unaojitegemea. Hivyo unatakiwa uuheshimu.
Nashukuru. Ila kwenye kipengele cha bei bado hujanijibu, iwapo mnauza kwa bei ya jumla? Au mnauza rejareja tu.Asante sana mkuu kwa maoni yako ,
Ndio tunauza kwa jumla pia
Fungua hii thread [emoji116]
INAUZWA - Karibuni kwa wanaohitaji vifaa vya umeme
Habari, Kwa mahitaji ya vifaa vya umeme, tunapokea order za wateja wetu, tunahakikisha mteja wetu anapata huduma ya uhakika na kwa muda muafaka, kupitia thread hii ntashare products mbali mbali. Kwa mawasiliano zaidi [emoji116] Call/Whatsapp - +255 (0) 719 07 32 06 Instagram page -...www.jamiiforums.com
Tate Mkuu
Hii fan ya tronic bei yake ni 135000For quality electronic products [emoji116]
Call/Whatsapp - +255 (0) 719 07 32 06
Instagram page - @vj_tronix
Msasani-Dar es salaamView attachment 2601533
Hii bei yake 480000 boss
Hii bei yake 480000 boss
Hizi zimeletwa na wasambazaji wa tronicBrand?