Quality Group kwa T shirt za Yanga.

Quality Group kwa T shirt za Yanga.

Usangu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
826
Reaction score
450
Wakuu nimeona leo Yanga wamevaa T-shirt zenye maneno ya Quality Group.
Je inamaana tayali yule Manji alishakodishwa ile timu ya pale mitaa ya Jangwani?.
Na kama ndio kwa hiyo tutegemee kesho kutangaziwa faida au hasara?.
 
Udhamini wa Kilimanjaro ndo umeenda na maji?
 
Kwahiyo Quality Group inalipa kiasi gani kwa Yanga? Na club ina faidika vipi??

Hata TBL sikujua walikuwa wanalipa how much,I think wanachama wanaohudhuria vikao ndio wanapaswa kuuliza hayo maswali kwa uongozi
 
Au ndo yale ya Manji kujilipa pesa kama mdhamini na kupokea kama mmiliki.
 
Hizi klabu zinaendeshwa kisanii,mashabiki wengi wenye idea nzuri sio wanachama so wanapiga porojo tu
 
Wakuu nimeona leo Yanga wamevaa T-shirt zenye maneno ya Quality Group.
Je inamaana tayali yule Manji alishakodishwa ile timu ya pale mitaa ya Jangwani?.
Na kama ndio kwa hiyo tutegemee kesho kutangaziwa faida au hasara?.
Mmeipenda wenyewe Kama chama chenyu
 
Sio mechi ya leo tu! Ni zote tangia wacheze za kimataifa
 
1471118794367.jpg
 
Sisi tunataka ushindi uwanjani siyo mambo ya kuhamisha pesa kwenda kwemye akaunti za michepuko yetu kama vyura fc aka wa matopeni,mikia nk
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
Wanashughurikiwa usihofu brother
 
Wakuu nimeona leo Yanga wamevaa T-shirt zenye maneno ya Quality Group.
Je inamaana tayali yule Manji alishakodishwa ile timu ya pale mitaa ya Jangwani?.
Na kama ndio kwa hiyo tutegemee kesho kutangaziwa faida au hasara?.

Hii inaweza kuwa mechi ya Tatu kuvaa nembo ya mdhamini wao mpya ambaye ni Quality Group wamemalizana na TBL siku nyingi
 
Back
Top Bottom