QUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums

mj909

Member
Joined
Aug 1, 2024
Posts
86
Reaction score
204
QUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums tunapatikana mbagala, kwa wale ambao wapo mbali na Dar es salaam tunafundisha kwanjia ya whatsapp na masomo tutakutumia kwanjia hiyo unaweza wasiliana nasi kupitia namba hii 0687 458 202
 
nisipojua mnanirudishia pesa yangu au ndo mnafanya ubaya ubwela..?
 
Hahaha Mkuu mpo serious ase.

Hamtaki kupoteza wateja hadi WhatsApp mteja atapigishwa pindi. Safi sana.
 
QUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums tunapatikana mbagala, kwa wale ambao wapo mbali na Dar es salaam tunafundisha kwanjia ya whatsapp na masomo tutakutumia kwanjia hiyo unaweza wasiliana nasi kupitia namba hii 0687 458 202
Mbagala ipi mkuu,Nna kijana Nataka ajifunze piano
 
ada sh. ngapi ? nataka kujifunza solo niwe mkali kama N. Bikaka
 
Kinanda nakitamani sana...nataka nikifanikiwa kufika 45yrs nianze kupiga kinanda church😀
 
QUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums tunapatikana mbagala, kwa wale ambao wapo mbali na Dar es salaam tunafundisha kwanjia ya whatsapp na masomo tutakutumia kwanjia hiyo unaweza wasiliana nasi kupitia namba hii 0687 458 202
Nikitaka mnifundishie nyumbani kwangu hasa piano na guitar inawezekana?
 
Kinanda nakitamani sana...nataka nikifanikiwa kufika 45yrs nianze kupiga kinanda church😀
Wewe kama mimi aisee yaani huwa nawaonea wivu sana wale jamaa wanaopiga kinanda kwenye Ibada.
 
Back
Top Bottom