Tunakurudishia tunaamini kazi yetu hatujawahi kufeli kwenye hilinisipojua mnanirudishia pesa yangu au ndo mnafanya ubaya ubwela..?
Karibu sanaHahaha Mkuu mpo serious ase.
Hamtaki kupoteza wateja hadi WhatsApp mteja atapigishwa pindi. Safi sana.
Karibu sanaHahaha Mkuu mpo serious ase.
Hamtaki kupoteza wateja hadi WhatsApp mteja atapigishwa pindi. Safi sana.
Mbagala ipi mkuu,Nna kijana Nataka ajifunze pianoQUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums tunapatikana mbagala, kwa wale ambao wapo mbali na Dar es salaam tunafundisha kwanjia ya whatsapp na masomo tutakutumia kwanjia hiyo unaweza wasiliana nasi kupitia namba hii 0687 458 202
Jirani na uwanja wa mpira wa Azam unaweza piga cm nika kuelekeza vizuriMbagala ipi mkuu,Nna kijana Nataka ajifunze piano
OkayJirani na uwanja wa mpira wa Azam unaweza piga cm nika kuelekeza vizuri
Hapanasaxophone mnafundisha?
HapanaDjing je mnafundisha?
Ninahitaji dogo ajue kugonga piano ila mbagala mbali sana aiseHapana
Nikitaka mnifundishie nyumbani kwangu hasa piano na guitar inawezekana?QUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums tunapatikana mbagala, kwa wale ambao wapo mbali na Dar es salaam tunafundisha kwanjia ya whatsapp na masomo tutakutumia kwanjia hiyo unaweza wasiliana nasi kupitia namba hii 0687 458 202
Wewe kama mimi aisee yaani huwa nawaonea wivu sana wale jamaa wanaopiga kinanda kwenye Ibada.Kinanda nakitamani sana...nataka nikifanikiwa kufika 45yrs nianze kupiga kinanda church😀
Sio Diblo Dibala au Cain Madoka!ada sh. ngapi ? nataka kujifunza solo niwe mkali kama N. Bikaka