Azedi mdede
Member
- Sep 19, 2020
- 16
- 2
Ndyo ndughapo ardhi unamaanisha umeChaguliwa BUILDING ECONOMIS???
Kwanza lazima ujue hao QS kazi yao ni nn, ushaona jengo au mradi wowote umejengwa? Kama jibu ni ndio basi jua wao ndio wanatumika kuandaa BOQ na kukadiria material zinazotakiwa kwa ajili ya ujenzi... wanafanya kazi bega kwa bega na angineers na architects!!Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi anisaidie plzz[emoji120][emoji120][emoji120]
Mada imeishia hapa.Kwanza lazima ujue hao QS kazi yao ni nn, ushaona jengo au mradi wowote umejengwa? Kama jibu ni ndio basi jua wao ndio wanatumika kuandaa BOQ na kukadiria material zinazotakiwa kwa ajili ya ujenzi... wanafanya kazi bega kwa bega na angineers na architects!!
Pamoja na hiyo pia qs wanahusika na ukadiriaji wa thaman au bei za majengo au mradi!!
Ukiangalia vizuri utaona ina chance nzuri kwenye kuajiriwa na kujiajiri!!
Kama kaka yako nakushauri kuliko ukasome hiyo ya udom nenda kasome Qs ya ardhi!
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Ndyo ndughapo ardhi unamaanisha umeChaguliwa BUILDING ECONOMIS???
Asanten wakubwa kwa ushaur wenuuππMada imeishia hapa.
Mtoa mada fuata ushauri huu bila kupoteza muda.
Kwa soko la sasa la ajira ukisomea mathematics au economics umekwenda na maji.
Utatafuta hata kazi za kufagia barabara na hautopata.
Hiyo mathematics and statistics ni moja ya koz tunazosemaga "god's know "Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi anisaidie plzz[emoji120][emoji120][emoji120]
Mmmhhiyo ya math na statstics n ualim wa hesabu xo kupanga n kuchaguaa
Quantinty Survey is the best optionSorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda na pia nazikubali but nilikua naomben ushaur zaid ipi iko poa zaidi hapoo kwa mwenye uelewa zaidi anisaidie plzzπππ
Nimekupata kaka but chukulia mfano ingekua ni mdogo wako wa familia moja we ungemshauri nn apoo??Pili hiyo ya UDOM , mbona na yenyewe ipo fresh tu sema , ufaulu wako una matter , + koneksheni (proof: nina rafiki zangu wamesoma hiyo now wapo job , ofisi ya takwimu tanga .