lucas paul
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 144
- 43
Habari ndugu zangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mm ni quantinty surveyor nimesomea chuo kikuu cha ardhi Dar es salaam hivyo bas napenda kutaarifu jamii kuwa nafanya kazi mabali mbali za kuushu ujenzi wa majengo kama vile
.ukadiliaji gharama za ujenzi mfano kama una raman yako unataka ujenge ujui utatumia gharama gan nitafute nikufanyie
.kuandaa schedule of materia yaan hapa nitakufahamisha nyumba yako inaitaji mfano matofali mangap,cement mifuko mingap,zege cubic mita ngap na mchanga kias gan pia idadi za nondo n.k
kiujumla mambo yote yahusuyo ujenzi nafanya na pia naweza kukuchorea raman uipendayo na kutoa gharama zake za ujenzi
wasiliana nam kwa namba za hapo juu na hata kama utapenda kuniajili nikusimamie ujenzi wa nyumba yako au kufanya nawe kazi katika kampuni yako tunaweza kuongea
namba ni 0753757303/0677400169 au email lucaspmap@gmail.com tuma mchoro wako niuone tuongee kama utakuwa nao tayari.Pia nafanya kazi zote za finishes kama sub-contractor na unaweza kujengewa pia. Wadau kampun yangu ya ujenzi inaitwa Lupama Engineering Company limited 0677400169 nichekin tujenge pamoja