Quarantined Corona Virus Jokes

Gily Gru

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
8,632
Reaction score
23,673
Hivi wale watu waliosemaga kuwa black hawafi na korona eti inaogopa ngozi nyeusi wapo wapi?? Alafu bhana kuna black people mweusi kama giza la usiku wa manane kaniambia corona virus haipati blacks huku amevaa mask na kwenye mfuko kabeba sanitizer mbili, jamaa kakohoa karibu nae kanawa mpaka uso na sanitizer chupa nzima namulizaga vipi imekuahe au we si black anadai eti amenawa uso kuzuia mafua na kifua tu hawezi patwa na corona. Jamaa si kakohoa tena yule black ka mind anasema ukikohoa tena on my face tunashuka wote unaposhuka utanijua mimi ni nani




Uzi huu ni maalum kutupia picha za kuwapa moyo na kuwafurahisha wenzetu walio kuwa quarantined
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…