Mpole sana JF-Expert Member Joined Oct 26, 2012 Posts 527 Reaction score 110 Jan 9, 2018 #1 Kulikua na mburudishani mmoja miaka ya mwishoni ya 80 akijulikana kama Queen Clouds alikua ni mchezaji wa disko miaka hiyo , mwenye kumkumbuka na kujua yuko wapi atupatie taarifa. Attachments dk kujirusha.jpg 10.6 KB · Views: 48
Kulikua na mburudishani mmoja miaka ya mwishoni ya 80 akijulikana kama Queen Clouds alikua ni mchezaji wa disko miaka hiyo , mwenye kumkumbuka na kujua yuko wapi atupatie taarifa.