Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
UPDATE: nimefanikiwa kumpata huyo mrembo Queen Clouds , thanx to John Dilinga , huyu dada alikua dancer miaka ya late 80's and early 90's , enzi hizo ni kuna gazeti la Mfanyakazi ndilo lilokuwa na habari za entertaiment za kutosha .
Kwa wanao kumbuka , kipindi fulani miaka ya late 80's na early 90s , kulikua na msichana mmoja alikua ni dancer , akijulikana kama Queen Clouds , kipindi hicho alikua akionekana sana magazetini, sikuwahi muona live wala kwenda kwenye show kumona , kipindi hicho na dhani ilikua zaidi Langa'ta Social hall, ambapo baadae akaja tangaza ana staafu kucheza musiki , nani ana habari zake dada huyu yuko wapi kwa sasa?