Queen Clouds

Wingawinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
623
Reaction score
1,531
UPDATE: nimefanikiwa kumpata huyo mrembo Queen Clouds , thanx to John Dilinga , huyu dada alikua dancer miaka ya late 80's and early 90's , enzi hizo ni kuna gazeti la Mfanyakazi ndilo lilokuwa na habari za entertaiment za kutosha .

Kwa wanao kumbuka , kipindi fulani miaka ya late 80's na early 90s , kulikua na msichana mmoja alikua ni dancer , akijulikana kama Queen Clouds , kipindi hicho alikua akionekana sana magazetini, sikuwahi muona live wala kwenda kwenye show kumona , kipindi hicho na dhani ilikua zaidi Langa'ta Social hall, ambapo baadae akaja tangaza ana staafu kucheza musiki , nani ana habari zake dada huyu yuko wapi kwa sasa?
 

Attachments

  • OXEA1345.MP4
    13.8 MB
Hebu tupe picha yake tumuone
 
Hebu tupe picha yake tumuone
Sikuwahi pata picha yake , ila alikua kipidi hicho kama hawa celebrities wa sasa kina Giggy Money, yeye hakua anaimba alikua nai dancers wa mziki wa Club, yani sio mziki wa dansi
 
Sikuwahi pata picha yake , ila alikua kipidi hicho kama hawa celebrities wa sasa kina Giggy Money, yeye hakua anaimba alikua nai dancers wa mziki wa Club, yani sio mziki wa dansi
Ngoja wahenga waje huenda wanafahamu mengi zaidi.
 
huyo sio dada tena kama yupo hai atakuwa mbibi umri + Libolo fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…