Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Hahahahaaàa kaka mkubwaaaChips haina ukoko
Inao mkuu...Chips haina ukoko
dah mkuu comment yako imenichekesha japo sijaelewa umemaanisha niniChips haina ukoko
hah haha haaaa hizo chips za papaiInao mkuu...
haina makombo ni fresh every dayHuyu alikua anahonga K sana ili apewe kolabo enzi hi
hizo...wengi wamepiga hapo halaf hawakumpa kolabo wala nini..kwa inspekta kaishia kusema maneno matano tu kwenye geti kali "inspekta sema basi unataka nini"..akapigwa chini..dully ndio kilikua kiwanja chake hicho kabla hajamwachia mad max mzee wa kipande cha ndimu...nae akawaachia kina taqwa na kiba.
.aagh ngoja nisiendelee mimi maana naweza kujikuta nami nimo