Queen Fifi : Mtangazaji bora kabisa wa kike wa wakati huu!

hawa wachaga nani anawapa connection hv wanavyoipenda hii kazi wamejazana sana
 
Nami huyu ndiye mtangazaji wa kike anayenivutia kumckiliza. Kikubwa anachonivutia ni uchangamfu wake na alivyo bilingual,mwingine ninayemkubali kwa afrika mashariki ni rae wa home boys radio breakfast
 
Huyu nae tunda la earadio tena amshukuru sana sam misago kwa kumpa airtime ya kutosha kwenye the cruise na fnl.....wazee wa nyakunyaku wakamnyakua yeye na mamibby
Daah mimi huwa namuelewa sn huyu mamy beib.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…