Queen Fifi : Mtangazaji bora kabisa wa kike wa wakati huu!

Huwa nasema na nitaendelea kusema kuwa hawa ipp wanajua kuibua vipaji na wanajicho kali sana la kujua huyu mtu anaweza... huyo queen fifi nilipomsikia mara ya kwanza East africa radio niliwapa big up kubwa sana... pia kuna mdada anaitwa SUZI anatangaza e-news na kuna mwingine anaitwa SCOLA kisanga anatangaza E drive kwakweli katika swala la kujua watangazaji ipp ni namba moja.
 
Huyo binti alishawai kushiriki Bss hakika anajua kutangaza hatari.....kuna mwingine anatangaza E-NEWS nae yuko vizuri sana...
 
Umesema kweli tupu....
 
Hapo Clouds wazee wa kudokoa vikishaiva utasikia washanyakua masna Mamy na Dj Sinyorita walikuwa wanaanza kumpoteza Millard Ayo kutokana na vipindi vyao kuwa mda mmoja wakazani ndio wataua lakini saa hii Queen Fifi anawatesa tena hawapumui.
 
daaa jamaa wa ipp wanajua kuchagua watu wakutangaza
 
Kumbe ndio yule Frida wa BSS?
Binti mwenye swag za kutosha kutoka Arusha City.
Namkubali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…