QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Asante sana nemesis. Maana na wewe ulikuwa unaulizia kukiwa kimya. So you know how we feel.kwenye suala la kusubiri
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji108]
 
Shida nikuwa hamuwi wakweli lege unajua kuongea ukweli huondoa utata wote
Unataka niongee ukweli upi mkuu.maana naweza nikaongea ukweli lkn bado mkaona kama nawapiga sound flan vilee lkn sio kweli na siwezi lazimisha uamini ukweli nikwambiao.
 
Nemesis tuendelee boss ww mwana arosto mwenzetu si kama lege
Hahaha mkuu wewe unaigiza arosto sio mwana arosto na kama ndio hivyo basi hujafikia kiwango changu cha arosto mkuu.

Nakumbuka nishawahi kwenda moro kusoma kitabu cha kikosi cha kisasi cha msiba.mwenyewe alikuwa haazimishi ikabidi nifunge safari kwenda kusoma moro.
 
Hahahaha hakuna kupumua hakuna focus wala nini mtajuta kuonja hii mizigo toka kwa patric maana ni mwendo wa bandika bandua.ikiisha hii napindisha mzigo mwingine.
Mkuu Nemesis kama vipi iweke yote kabisa tujue hii imemalizika watu tuweze kufokasi kwenye mambo mengine badala ya Monica!!
Miezi minne Sasa tangu tuanze kusumbuana Na LEGE!!
 
Hahahaha hakuna kupumua hakuna focus wala nini mtajuta kuonja hii mizigo toka kwa patric maana ni mwendo wa bandika bandua.ikiisha hii napindisha mzigo mwingine.
Mkuu kwahiyo mpaka lini tena
 
Naona dalili za kuendelea kupenda season za kikolea, mzigo nsjipimia mwenyewe
 
Asanteni nimeifatilia hadi mwisho nashukuru kwa wote mliohusika kwa uandaaji huu,,
Naisubiria kwa hamu sana season 5.
 
Hahahaha hakuna kupumua hakuna focus wala nini mtajuta kuonja hii mizigo toka kwa patric maana ni mwendo wa bandika bandua.ikiisha hii napindisha mzigo mwingine.
Tunasubr Lege...Malizia hii utushushie nyingine[emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…