Uchaguzi 2020 Queen Sendiga aahidi kuneemesha uhusiano na sekta binafsi

Uchaguzi 2020 Queen Sendiga aahidi kuneemesha uhusiano na sekta binafsi

ADC Party

Member
Joined
Sep 14, 2020
Posts
28
Reaction score
29
Nitaboresha urafiki na sekta binafsi ili kuzidi kukuza uchumi wa ndani, fursa za kutosha katika mkoa wa singida ikiwemo kilimo ili vijana waweze kunufaika.

''Kwa sasa sekta binafsi na serikali kumekua na uadui japo wanacheka kwa nje ila ndani wana maumivu, idadi ya makampuni ambayo yanafunga biashara zao na kusababisha wimbi kubwa la vijana wetu kurudi mitaani yanaongezeka. Naomba mnichague tarehe 28, tukakuze uchumi wa watu wetu na nchi kwa ujumla.''

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameyasema haya alipokua anaendelea na Kampeni zake Mkoani Singida Msufini katika viwanja vya OTU.

Kesho atakua Babati - Manyara

FB_IMG_1603310376158.jpg
FB_IMG_1603310356243.jpg
FB_IMG_1603310349767.jpg

"
 
Demokrasia ya Vyama vingi huwa ni Burdani sana🤣🤣
 
kwenda huko kwanza wewe hata jina lako halina mvuto
 
Back
Top Bottom