ADC Party
Member
- Sep 14, 2020
- 28
- 29
"Nikienda kupata ridhaa na kura zenu za kutosha tarehe 28 nawaahidi kurudisha kiwanda cha kuzalisha gas hapa mtwara ili watoto wetu, vijana wetu nao wanufaike na rasimali hii Mungu aliyetuzawadia " Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehitimisha kampeni zake katika wilaya Tandahimba katika kijiji cha Nanyagaa hivi leo , kesho ataendelea na kampeni zake Wilaya ya Rufiji , Kibiti na Mkuranga.