Uchaguzi 2020 Queen Sendiga aendelea na Kampeni zake Manyara - Mjini Babati leo

Uchaguzi 2020 Queen Sendiga aendelea na Kampeni zake Manyara - Mjini Babati leo

ADC Party

Member
Joined
Sep 14, 2020
Posts
28
Reaction score
29
Kilio cha wakulima wa mkoa wa Manyara ni kushuka Bei kwa mazao yao Kama mbaazi, maharage na mahindi.ADC ukipata ridhaa kwa wananchi inafanya maboresho ya sekta ya kilimo pamoja na kurudisha hadhi ya mazao yote makubwa yaliyoipa sifa nchi hii Kama pamba, mahindi, korosho, karafuu, kahawa chai na mengineyo.

Mkulima wa Tanzania ategenee neema ndani ya uongozi wa ADC.

Pamoja na hayo ameahidi maboresho ya miundombinu ya barabara ,Manyara Ina barabara kubwa moja tu ya kuingia na kutoka
Maeneo yote ya mkoa ni vumbi na hakupitiki haswa nyakati za mvua.

Lengo la ADC ni kumpa mtanzania maisha mazuri yenye maboresho kwenye sekta mbalimbali, barabara zitatengenezwa kwa kiwango Cha kupitiia nyakati zote za mwaka, pamoja na mkutano wake mjini Babati pia alisalimia na kuomba kura kwa watanzania akiwa njiani maeneo ya Katesh, Endasak Dareda na baadae magugu.

Mgombea kesho ataendekea na ziara zake na atakua wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha

1381042964.jpg
804899244.jpg
793104368.jpg
991918062.jpg
2105302012.jpg
 
Huyu dada anakura yangu...uongeaji wake nauelewa sanaa...anasauti flani hivi ya mamlaka na anaeleweka sanaa
 
Back
Top Bottom