Queen Sendiga akabidhiwa ilani ya CCM

🤣🤣🤣🤣

Malkia mwenye kauli tamu bana!!!

Mpinzani wa kweli hawezi kufanya kazi ndani ya serikali ya CCM kutekeleza ilani ya CCM.

Ahadi ya Mama ilikuwa ni maneno matamu tu ya kuwapoza watu walio na uelewa finyu wa mambo.
MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO
 
Huyu mama na nywele zake zinamtoa balaa, na imekua kama Identity yake.
Mademu wengine ni mawigi mpaka mgongoni, sijui Nani huwa anawadanganya wanapendeza.
 
Tangu lini nanihi St.peter akogoma kumla kuku anaemlinda🤸🤸
 
Mzee sasa mbona kina Lisu na wafuasi wake wa humu walidemka sana mama aliposema atateua wapinzani?
 

maisha yanaenda kasi sana
 
Bwana Bure Hayupo
Tuchape Kazi Ndugu Zangu
😆😅😄😃😂😁😀
JPM
 
Hata Lissu akiteuliwa aidha Ubalozi au Uwanasheria Mkuu au Ukatibu Tarafa Ikungi lazima akabidhiwe ILANI YA CCM ili akaisimamie na kuitekeleza. Kwahiyo, mnapofurahia kauli ya Mama kujumuishwa kwenye Serikali msilisahau hilo.

Cdm hawahitaji hisani ya mwanaccm yoyote kupata madaraka. Labda useme waliokuwa wanafurahia vyeo vya mbeleko ndio wamefurahia hiyo kauli.
 
Acha dharau weweee! Achaguliwe Lema ili afanye kazi gani katika Serikali ya Tanzania!?

Serikali ya Tanzania nayo ni ya kujivunia hivyo? Ingekuwa ya Marekani si ungetoka roho? Prof Assad anasema 60% ya watu serikalini wana uwezo mdogo, sasa kama 60% wana uwezo duni, nani atashindwa kufanya kazi kwenye serikali hiyo?
 
CCM wamemuuzia Mh Queen Sendega li CCM KICHECHE (CK) hiyo ilani wanaficha aibu iliyo ndani ya damu ya CK
Iringa CCM imewashinda kutokana na kuwa na makundi yafuatayo:-
(1) CCM Asas
(2)CCM Jeska
(kihesa na njombe ihusike)
(3)CCM bakwata og
(4)CCM mwagito
(Hawa ni wale wahehe og wanaochezesha kiduo mtu mrohoroho wa pesa)
(5) CCM vunja bei
(Vijana wa kikinga wanapamba na CCM Jeska)
(6) CCM sukuma gang
(Hawa ni CCM wanyonge kumtolea aibu JIWE waliamua kumpigia Kura Msigwa )
Sasa Mh Queen Sendega wamekupa CCM KICHECHE na siyo ilani ya CCM inayofanya kazi Iringa
 
Masahihisho: Dr. Slaa alichukizwa na kitendo Cha kumuengua kuwa mgombea wenu wa urais na kumpa EL. Alimkimbia Mbowe na saccos yenu hakuwakimbia lowasa na sumaye.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Samia lazima achague wapinzani "soft" ili afanye nao kazi kwa amani, akichagua vichwa ngumu watampasua kichwa, sipati picha Lema au Mbowe akabidhiwe hiyo ilani then ainyanyue juu namna hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…