Quentin Tarantino ni bonge la director

Anaigiza pia, hata kwenye Reservoir dogs yupo.
 
Mnawajua Hadi madirector aisee kweli balaaa,.big up kwenu
 
Sijaangalia hiyo one upon a time in Hollywood sababu najua inahusu mauaji aliyofanya Charles Manson si ndio?

Nikipata ujasiri ntaiangalia.
 
Sijaangalia hiyo one upon a time in Hollywood sababu najua inahusu mauaji aliyofanya Charles Manson si ndio?

Nikipata ujasiri ntaiangalia.
Inahusu hiyo story kiidea tu lakini ipo tofauti sana. Humu hata hiyo Manson family haipo bali ni mahippie fulani ndiyo walikuwa wanaenda kufanya mauaji na kibao kikawageukia.
 
Mnawazungumiaje James Cameron na Ridley Scott
Director Ridley Scott leo nimecheck Movie yake moja Rembo Tv inaitwa EXODUS ya Moses aliyowatoa wana wa Israel Misri aisee ni balaa yale mapigo unaona kama kweli
 
Director Ridley Scott leo nimecheck Movie yake moja Rembo Tv inaitwa EXODUS ya Moses aliyowatoa wana wa Israel Misri aisee ni balaa yale mapigo unaona kama kweli
Director Ridley anajua sana huyu mzee, huyu pamoja na yule James Cameron, hawa huwa nawaona kama wanaishi kwenye sayari waijuayo wenyewe, zile idea sijui huwa wanawaza nini kutengeneza movie za dizaini ile..
Mfano hizi za Ridley Scott
Alien Covert
The Martian
Gladiator
Prometheus
The A Team
Exodus Gods and Kings
The Counselor
American Gangster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…