Nadhani mambo kama ya kuunganisha table ukijifunza in detal kuhusu QUERY na VIEWS yanawezekana na kwenye SQL server book online kuna hizo nondo.
Buswelu sijui kaa niekupata hiyo sqlserver book online unaweza kudowload na kuistall kaa prigra nyingine ina nondo zote.. ukisha download na kuinstall kuitumia sio lazima uwe na internetYeah Nimecheck ila naona kama wamebana kushusha kitabu pdf...chote..yaani vinakuwa online tu...tena sio detail sana..wanatoka basic
concept.Tukipata vitabu ambapo tunaweza download...itakuwa nzuri sana...kwani kwa sasa wenzetu washafika mpaka SQL Server 2008.
So kuendelea kung'ang'ania na SQL 2000.Vitu vinakuwa vimerahisishwa kwenye Server zingine..