ndio,kwasababu kupitia lugha unaweza kugundua hisia ya mtu kama anahasira,furaha n.k
pili lugha inawezatumika kama utambulisho wa jamii fulani mfano jamii ya wasukuma wakiongea kisukuma unaweza kugundua mtu fulani kuwa ni msukuma.
tatu lugha kama njia ya mawasiliano baina ya mtu na mtu,so mtu anaweza kukuambia taarifa ambayo anayo au kukuambia jambo(lililo ndani yake) fulani ambalo analihisi hivyo kufanya dhana ya "language is pure human" kuwa timilifu.
utanisamehe kutumia kiswahili coz sijanywa mbege leo😀 nasubiri unisahihishe...