webroyalz
Senior Member
- Jun 6, 2015
- 199
- 337
Ninauza samsung yangu tab 4. 180,000 TZS....ina cracka kwenye kioo ila haina tatizo lingine...iko sawa kabisa. Nimeweka bei ya chini coz nahitaji hiyo pesa haraka.
Situmi mikoani..nipo wa azizi ally(mtoni).
Uwanja wa makubaliano upo wazi.
0742002526
kama unahitaji pia desktop computer full, core i5 ram 6 GB yenye nguvu ýa video editing nijuze
Situmi mikoani..nipo wa azizi ally(mtoni).
Uwanja wa makubaliano upo wazi.
0742002526
kama unahitaji pia desktop computer full, core i5 ram 6 GB yenye nguvu ýa video editing nijuze