Ndugu wana JF naomba kama kuna yoyote ana link na wanaotoa quick short term loans.. Nahitaji kama TZS 5m repayable in say two/three months na security niliyonayo ni card ya gari, thamani yake ni about TZS15M.. nimepatwa na issue ambayo ninahitaji kuresolve soonest... Nitashukuru kwa ushauri wenu...