PSYCHOLINGUIST
Member
- Oct 27, 2012
- 62
- 19
pole mdogo wangu nakuonea huruma sana unasoma ili iweje nani akuajiri kwenye media wakati kuna walio major full jounalism,masscom an other coz like na kama ushajua waweza kuja ajiriwa kama mwal. y usiende education au humanities uwe mwlm kamili usihangaike badae kusoma postgraduate ili upande madaraja bora hata ingekua linguistic hili tatzo linawakumba wengi na ndo mwanzo wa kukosa focus ktk maisha karibu block six kwa ushauri zaidi mwenye nipo udom masters degree