Quick Rocka na Copy ya wimbo wa Ryan Leslie...

Quick Rocka na Copy ya wimbo wa Ryan Leslie...

Rapherl

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
3,504
Reaction score
2,256
Kama umewahi kuona video ya wimbo wa Ryan Leslie ya How It Was Supposed To Be(Military-theme)dakika ya kwanza utaona kuna kipande wanaimba jamaa watatu wakiwa na Ryan na ukaangalia huu wimbo mpya wa Quick Racka ft Mangwea(R.I.P)-My Baby utakubaliana na mimi huu wimbo ume-Copy vitu vingi kutoka kwenye kile kipande(kama si kila kitu)...

Je,ndo tuseme huyu jamaa alikuwa hajui au kafanya makusudi au aliomba haki ya kutumia vionjo vya ule wimbo?!

Kama kuna mtu anajua chochote kuhusu ule wimbo anaweza kushea nasi hapa...

NB:Sijuii jinsi ya ku-attach link kama kuna mtu anaweza naomba a-attach link za nyimbo zote mbili watu waelewe ninachosema.
 
huyu hata beat amecopy beat la dully la kariakoo.
 
Unachokisema sip kipya na hata hicho kipande unachosema amekopy. Tazama video ya Sean Kingstone ya beautifu girls au Baby ya Justin beiber na wimbo fulani mpya wa Wale upo kwenye albam mpya ya Gifted. Kikubwa nilichoona Quick Racka na producer Manecky wamekopy melody ya dully sykes iliyotumika kwenye wimbo wa kariakoo
 
Ule wimbo ni wa 2009 tuanzie hapo alafu ndio tuje kwenye hao wakina Dully mnaosema,afadhali unaweza sema Ryan alichukua vionjo vya Beautiful girls

Na ninachotaka kujua je aliomba haki ya kufanya hvyo?je,aliujulisha Umma kuhusu hilo?

Alafu ni nini kinamfanya aibe muonekano wa T-Pain huyu jamaa ni copycat kupitiliza.
 
Back
Top Bottom