Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Kwangu inafanya kazi Hadi uwe na bundle na inakula bundle mno yani inafanya kama in uploadQuickshare iko vizuri pia. Angalia settings za simu
Badilisha settings za quickshare. Izuie isitumie dataKwangu inafanya kazi Hadi uwe na bundle na inakula bundle mno yani inafanya kama in upload
Shukrani mkuu ninapair kati ya simu yenye quickshare na tablet yenye nearby share nikituma kutoka Kwenye simu inakua poa ila nikitoka kwenye tablet inakua poaUnapair baina ya kifaa gani na kifaa gan? Kama kimoja hakina tech ya mwengine bluetooth ita husika. Hakikisha vifaa vyote viwili inatumia wifi kupata speed kubwa.
Asante mkuu option hiyo siioniBadilisha settings za quickshare. Izuie isitumie data