Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
taja maneno matano (5) ya kiingereza yasiyokuwa na vowels, yaani yana consonants tupu!
Cry,try......fly
Kiingereza nacho kitamu sana jamani
Dada FaizaFoxy naomba tumsaidie uelewa Honey Faith
Why,my,gyp,fly and fry.Hey leader,do you need another five?
hahaha, taja mengine mkuu
meshataja
Taja maneno matano (5) ya kiingereza yasiyo kuwa na vowels, yaani yanatumia Consonants tupu.