Quota Scheme Sholarship na vyuo vya Tanzania

Quota Scheme Sholarship na vyuo vya Tanzania

okwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
221
Reaction score
35
Habari zenu wana JF, ningependa kujua ni chuo gani cha Tnazania ambacho ni partner wa chuo chochote cha Norway. Kutokana na kuwepo kwa Quota Scheme scholarship, mtu anapoitaji kuomba inabidi aombe kupitia chuo alichosoma inchini kwake na hiko chuo lazima kiwe chuo rafiki wa hiko chuo cha Norway anachotaka kusoma, Pia kwa watanzania hakuna kikwazo cha kufanya mitihani ya kujipima uwezo wako wa lugha ya kingeleza (ILETS and TOEFL) sababu Tanzania tunatumia English kuanzia secondary hadi chuo ila hiyo ni kwa Norway. Piah hiyo scholarship ni 100% endapo tu utamaliza masomo yako na kurudi Inchi yako. wao wanaamini kwamba elimu uliyo upata inabidi ukaitumie inchini mwako ili uweze endeleza jamii yako na inch kiujumla. changamkieni wadau more info check Study in Norway/
 
Back
Top Bottom