Quotations za Kiranga wa JamiiForums

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Imani kwamba kitu kipo, wakati hakipo, inaweza kukuua.1.Ukijua kuwa hujui, unajua ama hujui? Kama atheism ni imani, basi kipara ni staili ya kusuka nywele!

2.
Hakuna mjadala kwamba watu wapo. Au unabisha?
Kuna mjadala kama mungu yupo.Ukisema maneno haya yaameandikwa na watu, hilo halihitaji kuthibitishwa, hatuhitaji kuthibitisha kwamba watu wapo.

3.Anayesema mungu yupo katika ulimwengu ambao hatujathibitisha kwamba mungu yupo, ana tatizo la kuthibitisha kwamba mungu yupo.Anayesema mungu hayupo, ukimwambia maneno yake ni ya watu tu, hujamkanusha. Maana hajawahi kusema mungu yupo.
Unaposema maneno yangu ni ya watu tu, unakanusha nini?
Sijawahi kusema mungu yupo, sasa unaponiambia maneno yangu ni ya watu tu, unakanusha nini?
Tatizo unageza kanusho langu kwangu visivyo.
Mtu anayeamini mungu yupo ukimwambia maneno ya mungu yupo ni ya watu tu, na mungu hayupo, umemkanusha.
Mtu anayesema mungu hayupo, ukimwambia maneno yake ni ya watu tu, hujamkanusha. Inawezekana ukawa umeongezea nguvu hoja yake.

4.Kabla ya kwenda mbali, thibitisha kwamba mungu yupo.

5.Ukisema mimi kusema mungu hayupo ni hadithi, hujakanusha kwamba kusema mungu yupo ni hadithi.
Ukisema mimi nimeiba, hujakanusha habari kwamba wewe umeiba

6.Hata atheists kukosa majibu niushahidi kwamba Mungu hayupo.

7. Mazingaombwe ni tricks tu, kama mtu anavyokulahela kwa karata tatu, anakudanganya uangalie huku, machoyako yakienda huku, anabadilisha kule.Unamuona mchawi, kumbe katumia akili tu.

8.Siogopi maswali
Tatizo nakujibu ila hata majibu huyaoni.

9.Kama hujui tofauti ya "test" na "taste"kwa nini nifikiri nikikuelezea utaielewa?

10.Na kama huwezi kuniambia ukweli ni upi, habari ina contradiction au haina contradiction, kwa nini uendelee kuniambia chochote?

11.Kama wewe unayetaka kuniambia habari, huijui hiyo habari kwa uhakika, unategemea vipi mimi niijue?


12.Ukitaka habari za personal experience, unaruhusiwahata kuamini wewe ndiye Mungu mwenyewe.

13.Unaweza kwenda jangwani sehemuina mchanga mtupu, ukaona mirage, ukaona chemchemi ya maji, ukakimbilia oasias hiyo unywe maji, ukakuta hamna maji, ni macho tu yanakuchezea kutokana na mwanga unavyoonekana jangwani.
Hiyo nayo nipersonal experience, lakini si fact.
Sasa weweutajuaje hiyo personal experience yako ni fact na si mirage?

14.Kuwapo kwakisiwa ambacho lazima upande boat niuthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo hayupo.

Angekuwepo usingelazimika kupanda boat, ungeweza hata kuruka hewani bila boat ukafika.


15.Kama nina makengeza kweli huo ni ushahidi Mungu hayupo.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingeumba viumbe wenye makengeza.


16.Do you understand that "binadamu" is a misnomer?
Unakubali pembetatu ambayo hapo hapo ni duara ipo katika Euclidean planes?


17.Wanaoamini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu, wanaamini Mungu wa contradiction.
Hawana tofauti na wanaoamini kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara.

18.Usomi ni nini? Kuwa na Ph.D haitoshi kumfanya mtu msomi. Kama mtu ana Ph.D halafu ni muoga hawezi kumbishia kistaarabu bosi wake, huyo si msomi. Ni mganga njaa. Wasomi wa Tanzania wengi ndio wako hivi.


19.Acha kuhubiri.
Thibitisha Mungu yupo.


20.Imani kwamba kitu kipo, wakati hakipo, inaweza kukuua.

21.Umeniambia kwamba nina uwezo mdogo sana.
Unaelewa kwamba mimi kuwa na uwezo mdogo-ikiwa ni
kweli nina uwezo mdogo sana - ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo?
Kwamba, kama angekuwepo, asingeumba viumbe wenye uwezo mdogo sana


22.Unaamini Mungu ambaye huwezi kumuelezea, na wala huna hata hekima ya kukubali kwamba humuelewi huyo Mungu.
Kwa sababu unaona kwamba kukubali humuelewi utakua unakubali kwamba inawezekana unaamini kitu ambacho hakipo.

23.Si kila kilichopo kinaonekana kwa macho (ndiyo maana sijaomba kuthibitishiwa Mungu yupo kwa picha)

24.

25.
 
Hii mada bado inaendelea tuu?tatizo ni kuwa hakuna anaekubali kushindwa kila mmoja anaona yuko sahihi la umuhimu kila mtu asimamie kile anachokiamini huu ugomvi uishe
 
David Copperfield.

Copped ten sold five then I hide three
Baking soda residue I'm gone with the other two
https://jamii.app/JFUserGuide a magic stick Jeezy got a magic wrist
David Copperfield on the stove all types of shit
Stack it up like Pringles all type of chips
AR-15 all type of clips.
 
Padri Kiranga ni kama mtu aliyechanganyikiwa.Nukuu zake hazina kichwa wala miguu
 
'Kuaminiuchawi kunakufanya uwe mchawi, hakufanyi uchawi uwepo.' [HASHTAG]#kiranga said[/HASHTAG]
 
Imalizie mkuu maana me sijawahi kutana nayo hiyo.
Kisichokuwapo, hakithibitishiki kwamba hakipo, nje ya dhana, kwa sababu hakipo, ili kithibitishike inabidi kiwepo, na kikiwepo kitakuwa kipo, si hakipo, kwa hivyo hakithibitishiki hakiponje ya dhana.[HASHTAG]#kiranga[/HASHTAG]
 
Haha hahaa ...[HASHTAG]#Akili[/HASHTAG] ni nini ??"" "" nikisema wimbo wa taifa una Rangi na umepanda mlima wa Kilimanjaro utanielewa ....?
 
Another day with the same dramatically......... [emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji52]
 
Kiranga namkubali sana...hapo kwenye uwepo wa Mungu ndo tunaachana njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…