Quote s za kufunga mwaka.

Quote s za kufunga mwaka.

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,080
Reaction score
2,871
Hizi quotes sijui zinauchawi maana kila nikipata changamoto..ugumu wowote..hua nazisoma then nainuka kivingine ..haya da 2017 yan ndo kameisha..OK tupeane quote za kuagia ..naanza " hardwork beats talent when talent doesn't work hard..haya kama mko active tiririka!!!
 
Ukiona mtaani kwenu hakuna mwendawazimu jichunguze sana, yawezekana ukawa ni wewe.
 
Back
Top Bottom