Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Mti wenye matunda,ndio upigwao mawe.Makundi yote ya kihalifu,yanaanzishwa na nchi za magharibi,kwa kutumia mgongo wa uislamu,mbona hii imeshajulikana mda mrefu,au wewe ndio mpya mitandaoni?
Sasa kwanini waislam hukubali mapema kufanya uharifu huku wakijua wamedanganywa na watu wa western?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kwamba matendo wanayoyafanya yameruhusiwa kwenye vitabu vyao wameamrishwa kuwatia hofu wasiofungamana na itikadi na imani zao lengo ikiwa kutaka kutawala ili wawanyanyase wanawake vizuri wajiolee hata wanawake hamsini hamsini
Sio kweli,ukweli ni makundi ya uhalifu,yanaanzishwa na nchi za magharibi,kwa mwamvuli wa uislamu,wakati wao sio waislamu.Unafikiri vikundi hivi vya uhalifu,vingeanzishwa na waislamu wenyewe,vingeangamizwa na silaha kali za nchi za magharibi.
 
Wengi pia tunajiuliza ukristo na biblia vimepishana wapi? Hakuna dhehebu hata moja la kikristo linalofuata biblia kwa ukamilifu wake. Na yapo madhehebu mengi ya kikristo yanayofundisha na kusisitiza mambo ambayo biblia inayapinga.
 
Ni Swali Najiuliza Ni Nchi Gan Ya Dini Yetu Hii Tukufu Cjui Kama Naweza Gugo Nikapata Nchi Ya Dini Hii Halafu Ikose Vita Labda Zanzbar Ambako Kuna Muungano Na Tanganyika Ila Dunia Nzima Hakuna
Nchi nyingi za kiislamu zina Amani:
1:Oman
2😀ubai
3:Saudia
4:Qatar
5😀ubai
6:Bahrain
7:Abudhabi
8:Kuwait
9:Brunei,Darusalaam
10:nk
Wakati nchi za Biblia vurugu tupu
1:Sudani kusini
2:Kongo
3:Rwanda
4:Burundi
5.Ireland ya Kaskazini
6.Liberia
7.Burma.
8.nk
 
jibu hili hpa umeshajibiwa na kwa kuongezea uislam ni aman neno salaam katika islam lina maana ya aman kama kuna mtu unaona anaenda kinyume usiupake matope uislam kwani si kuna wanaume wanana tombw*' kwanini hamuwaiti wanaume mkawa sawa mkawaita mashoga


fkilia kabla ya kupost @mugabeone
 
Hujui kwamba matendo wanayoyafanya yameruhusiwa kwenye vitabu vyao wameamrishwa kuwatia hofu wasiofungamana na itikadi na imani zao lengo ikiwa kutaka kutawala ili wawanyanyase wanawake vizuri wajiolee hata wanawake hamsini hamsini
Moja ya mikajati yao nikuzaana sana ili waweze kutawala wakristo wanasema wakristo huzaa watoto wawili tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Qur'an sio takatifu Bali ni tukufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweka ushabiki huwezi kuchambua kwa hoja, piga pande zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi hapa kanisa katoliki limekataa kumzika mtu na wameeleza kwanini lakini najiuliza laiti wakristo wote wangekuwa na taratibu kama kanisa katoliki au kungekuwa na kanisa katoliki tu je hali ingekuwaje kwa marehemu kwa maana angeachwa tu bila kuzikwa?

Najiuliza ni wapi wakristo walipoacha mafundisho ya biblia?
 
Ni kama serikali inavyokukataza wewe kuchapwa MGONGONI na ikaweka adhabu kali lakini wewe na watukutukutu kama wewe munavyoendelea kuchapwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMANI ni jambo moja na UOVU ni jambo jingine,kama ambavyo wewe ulivyotafunwa na maburuda wa kizungu ukiwa mdogo,ni uovu binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…