Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

aya gani
 
Umesahau
Somalia
Yemen
Libya
Pakistan
Afghanistan
Iraq
Syria
Lebanon
Sudan nk


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upeo wa mleta mada ni mdogo sana, wacha nikupe somo dogo: dunia haiwezi kuisha mpaka uislam utawale dunia; katika utawala huo ifikie muda ukisahau smart phone yako sehemu yoyote hakuna wakuichukua, sasa harakati za kutawala zinaweza chukua hata miaka elfu tano ijayo na zinaanza taratibu sana kiasi ya kwamba huwezi kuhisi kama kitu flani kinaweza kuwa. Vita vinatokea sehemu ambako waislam wako wengi, then wachache wanahamia ulaya kama wakimbizi, baadaye wanazaliana na kuwa wengi huko ulaya na amerika wanaanza kushika nafasi nyeti baadaye unakuta wametawala ulaya na amerika. Hatimaye dunia nzima, hii kitu inaweza kuchuka miaka mingi sana, wala usiwaze kama dunia inaisha leo au kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali mengne ya hovyo sana, endelea kuwaza sana kila mara kwa nini waislam wengi hushawishika kirahisi kutenda maovu hata mara tu wakitoka nje ya jengo la Ibaada,
Itakuchukua uhai wako kuja kupata majibu ya unavyowaza kwa sababu unapost kwa moyo wa ubaya na maneno ya chuki, heb kaa chini uusome Uislamu kwa undani ndo upate majibu ya unavyoviwaza.
 
Kama upo sincere katika kutafuta jibu ama elimu kuhusu hilo nitakujibu.

Quran ni Kitabu kitukufu alichopewa Mtume Muhammad ili uwe muongozo kwa Waislamu. Quran imekamilika. Hakina makosa.

Quran is what we are supposed to run to at any point in our lives.

Tukiwa sad.... Tunakutana na aya unasema Do Not Be Sad
Tukiwa happy tunakutana na ingine inayotufundisha kumshukuru kwa neema za Mola wetu
Ulitaka jibu lolote utalipata kwenye Quran.

Kwa sababu ya human nature na kutokuwa tumekamilika, ndo hapo tunapokuwa Waislamu lakini imani zetu hazijakamilika.

Tunapokuwa tunasengenya.... tunatukana...tunagombana... ndo hapo inapobidi tukumbushane.Tusijisahau sana.

Tushikamane. Tuongozane. Mkono kwa mkono mpaka Jannah.

Angalizo: Boko Haram na vikundi vingine wanaojiita Waislamu sio miongoni mwetu.
 



umeshawahi kuwasikia waprotestanti wa Ireland?

unafahamu wanapambana na nani?
 
Kidogo umenipa elimu japo umeibania kwa uoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine mtoa mada analengo zuri tu la kutaka kujifunza, akitaka kweli anaweza kufahamishwa. Ila kama ana lengo baya la kuukejeli uislam basi waislamu wenyewe hawatoshangaa maana kwenye Qur an Mwenyezi mungu anasema "Hakika ya chuki zinazodhihirika kutoka kwa makafiri ni ndogo mno ukilinganisha na zilizomo ndani ya vifua vyao" Hii maana yake ni kwamba watu wanaweza simama wakajifanya marafiki, ndugu jamaa sijui nini lakini ndani ya vifua vyao (mioyo) yao wanawachukia sana nyinyi waislam
 
mkuu unafahamu vyanzo vya uwanzishwaji wa vikundi hivyo?

quran imeingiaje kweny masuala ya ugaidi?? fikiria kwanza kabla ya kutoa mada
 
Nadhani umeshindwa kutofautisha kati ya uoga, kunyimwa haki, kutishwa, kunyimwa demokrasia na AMANI, hizo nchi ulizozitaja Hazina Amani bali zina hayo niliyoyaeleza, na ndio maana nchi kama Misri, Libya nk wananchi waliamua liwalo na liwe
 
Nataka kujifunza kabisa ili changamoto nilizozitaja zifunguke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unafahamu vyanzo vya uwanzishwaji wa vikundi hivyo?

quran imeingiaje kweny masuala ya ugaidi?? fikiria kwanza kabla ya kutoa mada
Quran imeingia hapa kwa sababu kuna wanaofanya maovu hutekeleza wakiwa wamebeba Quran.Look boko haram, nk rejea kwenye maada vizuri, je watu/waislam hawayaelewi yaliyomo ndani ya quran?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kwel raha sanaaa kuwa muslim amani,furaha muda wote unawaangalia tu makafiri wanavosumbuka kujaribu kuuteketeza na ndo kwanza wazidi panuka.
"hawatakuwa radhi mayahudi na manasara mpaka mfuate mila zao" QR.
Tulishapewa onyo kutokufata mila zao mara waje na kuvaa uchi wee wakafikir tutashawishika wapiiii.
Wakaja kwa kutengeneza makundi ya kigaidi kusingizia waislam wapiiiiii.
Raha saana tunafata kitabu kisichokuwa na shaka ndani ake kwan hakuna marekebisho ya binadamu kama bible hehehehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…