Qur'an ni kitabu chenye maajabu wanasayansi wanathibitisha

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?

Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
 
Ungejengea hoja za msingi hili bandiko lako ingekaa poa zaidi mkuu. Ila hili suala unaweka tu bandiko kama unakimbizwa ni kama kupoteza watu maboya.

Weka hoja, maelezo na mifano katika kuipa nguvu hoja yako. Haukimbizwi. Kaa tulia weka bandiko lenye maana
 
Samahani mkuu naomba nionyeshe kwenye Quran ni wapi wanazungumzia Euclidian Algorithm.
👇
If A = 0 then GCD(A,B)=B, since the GCD(0,B)=B, and we can stop. If B = 0 then GCD(A,B)=A, since the GCD(A,0)=A, and we can stop. Write A in quotient remainder form (A = B⋅Q + R)

Waulize wanasayansi. Soma headline
 
Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?

Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa ... kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an
Quran siyo kitabu Cha sayansi au jografia,ni kitabu Cha muongozo namna gani binaadam aenende Kama mola wake atakavyo/mahusiano ya binaadam na mungu wake
 
Hakuna kitu hapo ni propaganda tu, ingekuwa ni kitabu cha sayansi tungekuta shuleni na vyuoni nakala zimejaa. Wanasayansi magwiji kama akina sir isack newton, gallileo gallii, alexender bell, archimedes na wengine wengi wangekuwa ni waislam kwa kuwa quran ni kitabu cha sayansi, waislam wengi hasa masheik na wanazuoni wa kiislam wangekuwa magwiji wa sayansi.

Kwa ujumla jamii nzima ya kiislam ingekuwa wanasayansi, badala yake tunaona ndiyo jamii hafifu kimaendeleo na ugunduzi wa teknolojia mbalimbali.
 
Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?

Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Cha ajabu wenye hicho kitabu, sayansi hamuijui !!
 
Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?

Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Duh hicho kitabu sayansi yake inasema jua huzama kwenye chemchemi za matope
 
Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?

Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Kama sayansi ya kutengeneza majini nakubaliana na wewe. Pamoja na uchawi wa alibadil
 
Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?

Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Katoto ka madrasa kameshashiba
 
Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?

Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Kubwa jua linazama kwenye matope jioni na kutoka asubuhi

USSR
 
Hakuna kitu hapo ni propaganda tu, ingekuwa ni kitabu cha sayansi tungekuta shuleni na vyuoni nakala zimejaa. Wanasayansi magwiji kama akina sir isack newton, gallileo gallii, alexender bell, archimedes na wengine wengi wangekuwa ni waislam kwa kuwa quran ni kitabu cha sayansi, waislam wengi hasa masheik na wanazuoni wa kiislam wangekuwa magwiji wa sayansi.

Kwa ujumla jamii nzima ya kiislam ingekuwa wanasayansi, badala yake tunaona ndiyo jamii hafifu kimaendeleo na ugunduzi wa teknolojia mbalimbali.
Maendeleo unamzidi nani
 
Back
Top Bottom