Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Waulize wanasayansi. Soma headlineSamahani mkuu naomba nionyeshe kwenye Quran ni wapi wanazungumzia Euclidian Algorithm.
👇
If A = 0 then GCD(A,B)=B, since the GCD(0,B)=B, and we can stop. If B = 0 then GCD(A,B)=A, since the GCD(A,0)=A, and we can stop. Write A in quotient remainder form (A = B⋅Q + R)
Samahani mkuu naomba nionyeshe kwenye Quran ni wapi wanazungumzia Euclidian Algorithm.
👇
If A = 0 then GCD(A,B)=B, since the GCD(0,B)=B, and we can stop. If B = 0 then GCD(A,B)=A, since the GCD(A,0)=A, and we can stop. Write A in quotient remainder form (A = B⋅Q + R)
Adam,nuhu,lut,Ibrahim walikua wayahudi!?.. QUR'AN yenyewe unaijua!?Siwezi kubisha kwa maana kimeandikiwa historia za wayaudi na manabii wao inshort ni copy and paste kutoka ktk Bible, TAKBIR.
Quran siyo kitabu Cha sayansi au jografia,ni kitabu Cha muongozo namna gani binaadam aenende Kama mola wake atakavyo/mahusiano ya binaadam na mungu wakeQur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?
Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa ... kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an
Kwani kuna kitabu cha mungu kina itwa Bible?Siwezi kubisha kwa maana kimeandikiwa historia za wayaudi na manabii wao inshort ni copy and paste kutoka ktk Bible, TAKBIR.
Cha ajabu wenye hicho kitabu, sayansi hamuijui !!Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?
Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
AiseeSamahani mkuu naomba nionyeshe kwenye Quran ni wapi wanazungumzia Euclidean Algorithm.
👇
If A = 0 then GCD(A,B)=B, since the GCD(0,B)=B, and we can stop. If B = 0 then GCD(A,B)=A, since the GCD(A,0)=A, and we can stop. Write A in quotient remainder form (A = B⋅Q + R)
View attachment 2577865
Duh hicho kitabu sayansi yake inasema jua huzama kwenye chemchemi za matopeQur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?
Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Kama sayansi ya kutengeneza majini nakubaliana na wewe. Pamoja na uchawi wa alibadilQur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?
Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Katoto ka madrasa kameshashibaQur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?
Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Kubwa jua linazama kwenye matope jioni na kutoka asubuhiQur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?
Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Maendeleo unamzidi naniHakuna kitu hapo ni propaganda tu, ingekuwa ni kitabu cha sayansi tungekuta shuleni na vyuoni nakala zimejaa. Wanasayansi magwiji kama akina sir isack newton, gallileo gallii, alexender bell, archimedes na wengine wengi wangekuwa ni waislam kwa kuwa quran ni kitabu cha sayansi, waislam wengi hasa masheik na wanazuoni wa kiislam wangekuwa magwiji wa sayansi.
Kwa ujumla jamii nzima ya kiislam ingekuwa wanasayansi, badala yake tunaona ndiyo jamii hafifu kimaendeleo na ugunduzi wa teknolojia mbalimbali.