R-chuga imejengwa zaidi sasahivi,lakini enzi hizo palikuwa safi zaidi,population siyo kubwa kihivyo.Kuna wakati kweli taifa letu lilipoteza mwelekeo.Haya maendeleo ya sasa yangekuwa safi zaidi kama tungejali mipango miji,kweli kungekuwa kama matoni kabisa.Inaonyesha walioishi zamani walikuwa na raha zaidi.BTW naona mama wa kizungu anatolewa baru na tembo lol!1962
Maasai enzi hizo...Picha hizi ni kwa hisani ya tzaffairs.org,wana Arusha mnakumbuka?
Mnara wa saaMaasai enzi hizo...Picha hizi ni kwa hisani ya tzaffairs.org,wana Arusha mnakumbuka?
du hapo subzali garage no jengo lenye bank m,kweli tumetoka mbali.
Mkuu Kulikuwa na National Bank of Commerce-clocktower branch na siyo Barclays benki .Hii ni picha mpya,kilichobadilika hapo ni benki,ilikuwepo Barclays,sasa ni NMB,pia labda barabara nayo imekarabatiwa zaidi...