Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Huyu ni mmoja wa maafande waliofariki katika ajali ya gari iliyoua wapiganaji wenzetu huko Kigoma.
Pumzika kwa amani MP Nicholaus Lonjino, daima tutakukumbuka sana hasa ucheshi wako na uwezo wako wa kusakata kabumbu.
Pumzika kwa amani MP Nicholaus Lonjino, daima tutakukumbuka sana hasa ucheshi wako na uwezo wako wa kusakata kabumbu.